Sio kama anasutwa bali zake mwizi zimetimia, baada ya kufanya biashara yake ya utapeli wa (Dhahabu feki) wadau wa mjini wamemtia mikononi mchana wa leo baaada ya kumtapeli mama mmoja jina kapuni. biashara hii ya migodi inayotembea hapa mwanza imekuwa kero na wahanga wakubwa ni wakina mama na wadada wanao penda mingaro.
Huu ndio utambulisho wa mgodi unaotembea, kuwa makini usiingie kwenye janga hili.