Maisha yazidi kuwa magumu jijini mwanza
Thursday, August 18, 20110 comments
Hali ya maisha kwa sasa jijini mwanza imekuwa ngumu pale palipojitokeza tatizo la umeme likiambatana na maji, watu wanashindwa kufanya shughulizao za kila siku za kujenga taifa. Tafadhali wadau wote ambao mnahusika na haya maswala myarekebishe mapema kwani wana mwanza tunaumia na hii hali.